TIBA KWA NJIA YA MISHUMAA
*TIBA KWA NJIA YA MISHUMAA*
NA
_DR KAHUNIE HERBAL MEDICINE_
Tiba ya Mishuma una siku zake maalum na rangi za kila Mshumaa zinatibu aina fulani ya matatizo
*TUNAANZA NA SIKU YA JUMAPILI*
1.Jumapili,
Mshumaa unaotakiwa ni wa rangi ya Njano au ya Dhahabu na siku hiyo ni ya kutibu matatizo yanayotokana na ufukara au kupata utajiri au ukiwa una afya mbaya au kumtibia mgonjwa. mafuta yanayotumika ni ya aina ya frankincense
2.Jumatatu.
Mshumaa unaotakiwa ni wa rangi Nyeupe au rangi ya urujuani (Violet) na siku hiyo ni ya kutibu Matatizo yanayotokana na nafsi au Maradhi sugu na mafuta yanayo tumika ni ya aina ya camphor.
3.Jumanne.
Mshumaa unaotakiwa ni wa rangi Nyekundu na siku hiyo ni ya kutibu matatizo yanayotokana na Kukosa nguvu katika mwili za aina yoyote iwe ya kimwili au kimapenzi. Mafuta yanayo tumika ni ya aina ya Ginger.
4.Jumatano.
Mshumaa unaotakiwa ni wa rangi ya Njano au rangi ya Chungwa na siku hiyo ni ya kutibu matatizo yanayotokana na Busara au mambo ya yanayohusiana na akili kama masomo, Mitihani, Kupata cheo au mambo ya vitabu. Mafuta yanayo tumika ni ya aina ya Lavender.
5.Alkhamisi.
Mshumaa unaotakiwa ni wa rangi ya Buluu na siku hiyo ni ya kutibu matatizo yanayotokana na Kukosa bahati, Kupata mafanikio ya kimaisha au maendeleo au kukufanya uwe na mwamko mzuri wa kimaisha na kiafya. Mafuta yanayo tumika ni ya aina ya Cedar.
.
6.Ijumaa.
Mshumaa unaotakiwa ni wa rangi ya Kijani na siku hiyo ni ya kutibu matatizo yanayotokana na Mapenzi tu. Mafuta yanayo tumika ni ya aina ya Almond.
7.Jumamosi.
Mshumaa unaotakiwa ni wa rangi ya Kahawia au hudhurungi na siku hiyo ni ya kutibu matatizo yanayotokana na Msimamo, uthabiti, uimara au uhodari, mambo yote yanayotokana na mambo ya Kidunia au mambo ya Pesa au kuhifadhi pesa kukufanya uwe Mbahili. Mafuta yanayo tumika ni ya aina ya Storax au Dittany of Crete.
Baada ya kuyajua haya hatua inayofuatia ni hatua ya kufanya shughuli nayo ni kama ifuatavyo:-
*CHAKUFANYA*
1.Hatua ya kwanza ni kufanya maamuzi kwa unalotaka kufanya, nalo sijambo rahisi kama unavyo fikiria.Unatakiwa ujue ni nini hasa unacho kitaka.
Kwa mfano Ikiwa unafanya uchawi huu wa mshumaa kwa niaba ya mgonjwa, basi umuwazie vizuri kama vile amekwisha pona, mwenye afya na anatembea kama kawaida.
2.Hatua ya pili ni kuchagua mshumaa wenye rangi inayo faa kwa unachokitaka na siku inayofaa kuanza kufanya shughuli hiyo kama ilivyo elezwa hapo juu.
3.Baada ya kuchagua mshumaa wenye rangi inayo faa na siku inayo faa kwa shughuli hiyo, unatakiwa uandae sehemu ambayo ni kimya yenye mandhari ya utulivu.
4.Tayarisha mkeka, na katika pembe tatu za mkeka huo, weka udongo katika pembe ya kwanza, Moto katika pembe ya pili, maji katika pembe ya tatu, pembe ya nne iwache wazi kwani ni pembe ya upepo
Si lazima shughuli hiyo iwe usiku ila sehemu isiwe na mwanga wa Jua. Kama ni mchana Sehemu unayofanyia kazi zako inatakiwa iwekwe pazia
5.Chukua mafuta yanayolingana na kazi uifanyao na paka kiasi kidogo kwenye vidole vyako ( Mafuta hutumika katika uchawi kwa kuvutia nguvu). kisha paka mafuta hayo kwenye Mshumaa kuanzia katikati kwenda juu na chini. Wakati unapopaka mafuta kwenye Mshumaa Sema yale unayoyataka mara 7
6.Washa Mshumaa wako halafu uweke katikati ya miguu yako na uuangalie mshumaa huo kwa muda wa dakika 30.
7.Baada ya hapo uache mshumaa huo uwake mpaka umalizike. Kawaida mishumaa huwashwa na kuendelea kuwashwa kwa kipindi cha wiki. Kwa mfano ukianza shughuli hii siku ya Jumapili basi utaendelea kuwasha kiasi hicho hicho cha mishumaa kila siku mpaka siku ya Jumapili inayofuata.
8.Inatakiwa uwe Makini zaidi katika kutekeleza shughuli hii kwani ukosefu wa Nidhamu ndiko kunaweza kukufanya usiweze kufaulu. Kumbuka kuzingatia matakwa yako wakati wote unapowasha Mishumaa.
Imeandaliwa na
DR KAHUNIE HEEBAL MEDICINE
0752857340
0784857340
0677857340
Facebook ..like page.
_DR KAHUNIE HERBAL MEDICINE_
Www.kahunie.jimdo.com

Comments
Post a Comment